Namshukuru Mungu kwa uwezo na hekima ambayo amenipa kwa kunipaka mafuta nimtumikie katika huduma ya uimbaji kwa mtindo au miondoko ambayo ninatumika nayo kuufikisha ujumbe kwa watu wote.
Kupitia tovuti hii (website) pia ninatumika pamoja na waimbaji wengine kwa lengo la kumwinua Mungu na kuziinua huduma za waimbaji ambao bado wangali chini katika kukuza kujulikana kwao kupitia mitandao ya jamii.
Playlist
Zitazame video hizi
Playlist
Zisikilize audio hizi
Kwa kusikiliza na kutafakari ujumbe wa nyimbo hizi utakuwa umejifunza na kupata kitu muhimu sana katika maisha yako.
AI Website Builder