Ni furaha yangu kutumia fursa hii kuwakaribisha watu wote wenye kutaka kutangaza huduma zao kwenye majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii ili kukuza soko huduma
Cameraman mashuhuri Peter Paul au Psquare akiwa kazini akifanya 'shooting' kwa kwaya na bendi mbalimbali.
Joseph Paul Sambai ni mchungaji mtumishi wa Mungu anayetumika kwa kuchunga na kuimba nyimbo za injili.
Kwaya ya fpct imani ni kwaya ambayo iko mkoani Singida wilaya ya manyoni, kijiji cha Ipande, wanamtumikia Mungu.
Mwimbaji Flora Philemon kutoka Dar es Salaam, Tanzania hivi karibuni amevuma sana kwa wimbo wa amelipa gharama
Mfuatilie mtumishi wa Mungu mch. Reuben Jinega akichimbua kwa undani zaidi juu ya nguvu ya Roho Mtakatifu katika uamsho kwa kanisa la leo.
Somo hili limesikia sana mara kwa mara lakini namna alivyolichimbua kwa undani zaidi mtumishi Dr. Eng. Mwl. Emmanuel ni kina cha ufahamu mkubwa mno, dah!
Mtumishi wa Mungu Mwl. Rebecca Amos ni mke wa Dr. Eng. Mwl. Emmanuel Paul ambaye amejaliwa kuwa na mafuta ya ualimu, fuatilia somo hili muhimu sana.
Mchungaji mashuhuri wa mkoa wa Shinyanga Mch. Undergod Godestian amechimba kwa mtazamo mpya juu ya habari ya Zakayo wa kwenye biblia
© Copyright 2024 William Elias Laizer. Haki Zote Zimehifadhiwa.
Easy Website Builder