Karibu katika ukurasa huu muhimu sana kwa mafunzo ya muziki wa vyombo mbalimbali kama vile kinanda, guitar, drums, tarumbeta pamoja na vyombo vingine vingi ambavyo nitakuwa ninakuletea. Darasa hili limelenga kuwasaidia watu wenye nia ya kutaka kujua kutumia vyombo hivi vya muziki, tafadhali fuatilia maelekezo ya video clips zilizo hapo chini na kuzirudiarudia, pia unakumbushwa kutokusahau ku 'subscribe' kwenye channel hiyo ya video hizo ili kila darasa lingine nikiliweka upate kupewa taarifa ya darasa jipya ambalo litakuwa tayari liko hewani, tafadhali waambie na wengine.
Easiest Website Builder