Maombi ya Promo, mwombaji wa kufanyiwa promo itamlazimu kupakua fomu ya maombi ya promo na kujaza taarifa zinazohitajika ambapo pia atatakiwa kuzingatia kutimiza vigezo na masharti ambayo yatamfanya aunganishwe kwenye promo zetu za mitandao ya jamii ya facebook, youtube na tik tok, vinginevyo asipotimiza hawezi kuunganishwa kwenye promo na taarifa zake haziwezi kuchapishwa kwenye kurasa za tovuti yetu.
Website Builder Software