Hii ni camera nzuri sana
Aina: Canon HD
Inatumia SD card
Tzs 2.5 mil
Kahawa nzuri kutoka America
Inauzwa kwa packets na carton.
Bei kila packet ni Tzs 500.
Tzs 500 tu
Blue T-Shirt isiyokuwa na maandishi yeyote nyuma yake, bei ya jumla ya kila T-Shirt ni hii ndogo sana.
Tzs 15,000
Kitabu kinazungumzia namna unavyoweza kumsikia Mungu akiongea nawe na ukaweza kumwelewa. Kutoka katika kitabu hiki utaweza kuijua lugha ya Roho na kuielewa sauti yake aongeapo nawe moyoni mwako.
Tzs 20,000
Ndani ya kitabu hiki umepewa mbinu za kutengeneza pesa au mali kibiblia na historia yako ikabadilika kabisa bila kutegemea msaada wa ulimwengu wa giza. Soma upate nuru ya wewe kuyaishi maisha ya ndoto yako.
Tzs 15,000
Hiki ni kitabu ambacho watu wengi sana kimewaletea mabadiliko katika maisha yao na kurudi kunishukuru kwa elimu hiyo ambayo hakika imewafanya kuiishi ndoto yao.
Tzs 10,000
HTML Editor